Wednesday, July 6, 2016

Huu ndio ujumbe wa Diamond na Mwana FA kwenye Birthday ya AY


Julai 5 ilikuwa   siku ya kuzaliwa ya nguli wa muziki wa Tanzania, Ambwene Yesaya maarufu AY. AY alizaliwa Julai 05, 1981 Mkoani Mtwara uliopo kusini mwa Tanzania. Watu wengi wamemtakia heri na fanaka katika siku yake hii ya kuzaliwa.

Kati ya hao wengi, tumekuwekea hapa jumbe za watu wawili ambao ni marafiki wakaribu na AY. Hiki ndicho walichoandika.

Mwana FA
Kuna siku mwaka aidha 2003 ama 2004,hatuna hata nauli ya daladala ya kwendea mjini,huyu jamaa akaniambia “easy mwanangu,utafika wakati tutakuwa tunaazimana magari”…kama kauli ndogo tu hivi enh?well,SIJAWAHI KUISAHAU na huwa namkumbusha KILA WAKATI tunapopata ugumu kwenye mambo yetu..jifunze kitu.. Happy eathstrong mi brethren..Mungu akulinde uendelee ku’spread positive vibes ONLY mi General..u kno what i mean.. @aytanzania
MY VERY RICH FRIEND.

Diamond
I started watching you on TV, listening you on Radio, Reading you on Newspaper and Magazines when i was a little kid and today am here with you Celebrating 6.6+ Million Views of our Song on Youtube… you are a real and True Definition of a Living Legend!!!… I Respect you so Much, and thank you for the chance you gave me to work with you on your #ZigoRemix Track!…Happy Birthday my Big Bro
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!