Saturday, July 2, 2016

Luca Neghesti na Nancy Sumari wafunga ndoa


 Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Baada ya miaka mingi ya uhusiano thabiti na uliokuwa umetawaliwa na upendo usio kifani, Mwenyekiti Mtendaji wa Bongo5 Media Group Limited, Luca Neghesti na Miss Tanzania 2005 na Miss World Africa, Nancy Sumari wamefunga ndoa Ijumaa hii.


 Luca na Nancy  wamebahatika kupata mtoto mmoja wa kike, Zuri.Wawili hao wamefunga ndoa jijini Arusha na kuhudhuriwa na watu takriban 60 ambao wengi wao ni ndugu na marafiki zao wa karibu. Tunawapongeza kwa hatua hiyo kubwa kwenye maisha yao.


==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!