Friday, July 1, 2016

Mawaziri wa mambo ya nje wa Tanzania na Rwanda leo wametiliana saini


Mawaziri wa mambo ya nje wa Tanzania na Rwanda leo wametiliana saini katika Muhutasari wa kikao cha tume ya kudumu ya pamoja kilichofanyika Rwanda.Mawaziri hao wametiliana saini mbele ya Rais John Magufuli wa Tanzania na Rais wa Rwanda Paul Kagame 

 BOFYA HAPA: 

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!