Friday, July 15, 2016

Mtv Base Walivyoisifia video Mpya ya Diamond ‘Kidogo’


Kituo cha tv cha kimataifa MTV Base kimeipa sifa kubwa video mpya ya Diamond Platnumz aliyowashirikisha P Sqaure kutoka Nigeria. Video hii ni KIDOGO.
Ukiacha kuipa sifa kuwa ndio video bora kwa sasa AFRICA ila pia MTV Base wanasema Diamond ndio MFALME WA MUZIKI WA AFRICA MASHARIKI ‘King OF East African Music

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!