Wednesday, July 6, 2016

Mwanadada Apambana na Majambazi Wanne Jijini Dar


Majambazi wapatao 4 maeneo ya Buguruni Malapa yakiwa na bodaboda yalimvamia dada na kumtaka atoe fedha dada akaambia hataki purukushani na kuwafungulia wachukue fedha,

Dada akaingia kenye gari na majambazi wakachukua fedha kiasi cha 420,000, baada ya kuchukua wakaondoka na bodaboda zao kisha dada akawasha gari na kuwagonga baada ya kugongwa wakaruka kwenye pikipiki wakaacha silaha aina ya SMG na wananchi walijaribu kuwakimbiza lakini hawakufanikiwa

 bofya hapa chini kujua zaidi:

 
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!