Monday, July 11, 2016

Post ya Mama yake Diamond Platnumz Kumsifia Wema Sepetu


Jana Jumapili Mama mzazi wa msanii wa Bongofleva Diamond Platnumz amempost Wema Sepetu ambaye alikuwa ni girlfriend wa zamani wa Diamond Platnumz kwenye page yake ya Instagram na Kuandika yafuatayo: 

kendrah_michael
"Uzalendo kwanza..umependeza sanaa mamy akee"
Baada ya mama Diamond kupost alifuatia Romy Jons ambaye ni kaka yake na Diamond Platnumz, hiyo inaonesha kuwa upande wa Diamond Platnumz na Wema Sepetu hakuna tatizo kama ambavyo baadhi ya watu walikuwa wanaweza kuhisi.

Picha aliyopost Rommy Jons
 
 
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!