Wednesday, July 13, 2016

Shilole Aamua kurudi Darasani ili Asije kuaibika


‘Ni kweli nataka nirudi darasani nisome lugha ya kingereza kwani ni lugha ambayo imekuwa ikinipa changamoto nyingi mno, kwa sasa ndo niko kwenye mchakato kwani unajua mwisho wa siku sitaki niaibike pale nitakapokutana na wakina Beyonce kwahiyo hii ni heshima kubwa kwenye muziki wetu wa Bongo Fleva’- Shilole
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!