Wednesday, July 6, 2016

Swala ya ED-EL-FITR iliyofanyika Viwanja vya Mwembeyanga Jijini DAR ES SALAAM LEO leo

Qasda ikisomwa wakati a swala ya Eid el Fitr viwanja vya Mwembe Yanga Temeke jijini Dar es salaam asubuhi hii.
 

Swala ikifanyika katika viwanja hivyo vya Mwembe Yanga.
  Sheikh Abdulkadir Mohamed akiongoza swala 
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!