Sunday, July 10, 2016

Ukaribu wa Diamond na Hamisa Mabote waibua Gumzo


Baada‬ ya Kumaliza Skendo ya ‪‎Kutoka‬ Kimapenzi na ‪Video‬ queen wa Kwetu ya Raymond, ‪‎Diamond‬ Platnumz Kikaangoni Tena na ‪‎Skendo‬ ya ‪Kujiweka‬ kwa ‪Hamisa‬ Mobetto
Tetesi hizo za Hamisa Kutoka na Diamond zimepigiliwa msumari kwa kitendo cha juzi kwenye birthday ya Mama yake Diamond ambapo Hamisa alionekana kuwa karibu zaidi na familia ya Diamond hasa Mama na Dada yake Dai Asma Platnumz, Kitendo hicho kilitafsiriwa na wengi kuwa ndio chombo kipya cha Diamond hasa ukichukuliwa kuwa inasemekana familia hiyo ya Diamond kwa sasa haziivi na Zari ambae ndio mpenzi wa Diamond kwa sasa...
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!