Wednesday, July 6, 2016

wimbo mpya wa Lady JayDee- Sawa na wao (Audio)

Mwanamuziki wa bongo fleva, Judith Wambura maarufu Lady JayDee baada ya kutamba na Ndi Ndi Ndi, sasa ametoa wimbo wake mwingine unaokwenda kwa jina la ‘Sawa na wao.’

 Usikilize hapa chini.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!