Thursday, July 21, 2016

Zari Akana Kuwa na Mtoto Mkubwa wa Kike Kama Taarifa za Mitandao zinavyodai


Taarifa zimesambaa mtandaoni kuwa mpenzi wa msanii, Diamond Platnumz, ambaye amezaa naye mtoto mmoja, Tiffa,Zari kuwa ana mtoto mkubwa aitwaye Zuleha ambaye amekuwa akimficha na kumtambulisha mbele za watu kuwa ni mdogo wake, Zari amekanusha taarifa hizo. 

"Mimi mbona sina mtoto mwingine wa kike zaidi ya Tiffah tu, achana na ambao hawana akili wavuta bangi, wanatafuta kiki, hasira zao wananitolea mimi, anahangaika na maisha, nina watoto watatu wa kiume na mmoja wa kike na kila mtu anawafahamu hayo mambo mengine siyajui" Alisema Zari.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!