Tuesday, August 2, 2016

Hamisa Mabeto Azidi kuvuruga Penzi kati ya Diamond na Zari

Hamisa Mobeto Kwa sasa amekuwa Kirusi Kwenye Penzi la Mwanamuziki Diamond na Zari Hassan Hasa tetesi zinazosema Kuwa anatoka kimapenzi kwa siri na Diamond.. Hamisa ndiye mwanamke anayemuumiza kichwa Zari wa Diamond kwa sasa.
Hamisa Ameposti hii Video kwenye page yake ya Instagram

Angalia Video Hapa chini:
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!