Thursday, August 4, 2016

Lulu Michael Aelezea Kwanini Alimblock Mpenzi wake Majizo Kwenye Instagram

Msanii wa Bongo Movie, Elizabeth Michael 'Lulu' ameeleza sababu za yeye kumblock Mpenzi wake Majjizo kwenye Instagram.Lulu amefunguka mara baada ya Mpenzi wake 'Majjizo' kulalamikia kitendo kilichofanywa na Lulu kumblock kwenye mtandao huo.

Hivi ndivyo alivyopost Lulu kwenye account yake ya Instagram:

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!