Friday, August 5, 2016

Tazama Video Mpya ya Chege ft. Diamond ‘Waache Waoane’

Chege Chigunda na Diamond wametuletea single mpya inaitwa ‘waache waoane‘ na video imefanywa South Africa, ni ngoma ya Chege ambayo kamshirikisha Diamond… Ndani ya video hii Temba ndiye ameoa..
 
Video hapa chini:
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!