Monday, August 1, 2016

Video Mpya: Profesor Jay Ft. Sholo Mwamba – Kazi Kazi


Video mpya ya Professor Jay tangu achaguliwe kuwa mbunge mwaka jana. Wimbo unaitwa “Kazi Kazi” amemshirikisha muimbaji wa Singeli Sholo Mwamba. Video imeongozwa na Kwetu Studio.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!