Monday, August 15, 2016

Video:Masanja Mkandamizaji Afunga Ndoa, Dar

MCHEKESHAJI wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’, leo ameuaga ukapera kwa kufunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu aitwaye Monica.
Ndoa hiyo imefungwa katika Kanisa la Mito ya Baraka lililopo Jangwani jijini Dar es Salaam.

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!