Friday, September 9, 2016

'Aje' ya Alikiba yapata Shavu MTL, Nigeria

Wimbo wa Aje wa Alikiba umepata shavu kwenye mtandao wa simu wa MTN wa nchini Nigeria.

Aje umekuwa miongoni kati ya nyimbo zinazopatikana kwenye mtandao huo ambao wananchi wanaweza kuuchagua wimbo huo kuwa kama muito kwenye simu zao.

Hatua hiyo itamwezesha staa huyo kuendelea kuingiza mkwanja kulingana na mikataba yake aliyosaini ikiwemo ule wa Sony Music aliosaini mwezi Mei mwaka huu.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!