Saturday, September 17, 2016

Mziwanda na Shilole Wamaliza Tofauti zao...waelezea kuhusu kupostiana Instagram

Wasanii wa bongofleva Shilole na Nuh Mziwanda waliwahi kuwa wapenzi lakini wakaachana na baada ya hapo Shilole alionekana kutotaka hata kusamiliana na Nuh japokua walifikia kupatanishwa.

Baada ya haya yote September 15 2016 wawili hawa wamepostiana Instagram kwa mara ya kwanza toka kuachana kwao, hapa chini ukibonyeza play utawasikia wakieleza ilivyokua mpaka wakapatana.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!