Friday, September 9, 2016

Picha:Idris Sultan katika Filamu Mpya ya 'Karibu Kiumeni' adhihirisha muonekano wa maisha yake ndani

Wakati mashabiki wakiendelea kuisubiria kwa hamu filamu ya ‘Karibu Kiumeni’ ambayo imewakutanisha mastaa mbalimbali wa filamu, Idris Sultan ameonyesha muonekano wa maisha yake ndani ya filamu hiyo.

Filamu hiyo inaongozwa na Director mahiri wa filamu, Daniel Manege huku ikiwakutanisha mastaa kama Ernest Napoleon, Irene Paul pamoja na wengine.

Hizi ni picha za Idris Sultan pamoja na mastaa wengine.


==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!