Monday, September 5, 2016

Video: Diamond Akutana na mchekeshaji Maarufu wa Marekani, Kevin Hart

Akiwa jijini Los Angeles, Marekani ambako tayari ameshoot video ya wimbo Marry You aliomshirikisha Ne-Yo, Dimaond Platnumz amekutana na mmoja wa mastaa maarufu sana Marekani. 

Amekutana na mchekeshaji na muigizaji wa filamu, Kevin Hart.Diamond ameweka video akiwa na mchekeshaji huyo kwenye ukurasa wake wa Instagram.Icheki hapa.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!