Monday, September 19, 2016

Video Mpya : Diamond Platnumz Ft. Rayvanny Salome ( Traditional )

Msanii Diamond Platnumz ameamua kuachia video mpya ya wimbo ‘Salome’ amemshirikisha Rayvanny, Video imefanyika hapahapa Tanzania, imeongozwa na Director Nicorux kutoka SouthAfika.

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!