Thursday, September 1, 2016

Video Mpya : Rayvanny – Natafuta kiki

Msanii Rayvanny kutoka Lebo ya WCB ameachia video mpya ya wimbo ambao unafanya vizuri “Natafuta Kiki”, Video imeongozwa na Kwetu Studio tazama hapa alafu toa maoni.

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!