Friday, September 30, 2016

Video Mpya : Witnesz & Ochu Sheggy Ft Snura, Mzee Yusuph – Jirani

Msanii Witnesz Kibonge Mwepesi na Ochu Sheggy wameachia video mpya ya wimbo unaitwa “Jirani”, wakiwa wamewashirikisha wasnii Snuara na Mzee Yusuph. Video imeongozwa na kampuni ya Dreams multimedia studio under visualizer creator Pro.

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!