Monday, October 3, 2016

Diamond Platnumz Asherehekea Siku yake ya Kuzaliwa Kwa Kula Chakula Cha Mchana na Watoto Yatima

Mwanamuziki Diamondplatnumz asherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kula chakula cha mchana na watoto yatima, na kuwasaida vitu mbalimbali.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!