Sunday, October 16, 2016

Mbwana Samatta atajwa kuwania tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika

Mshambuliaji wa Taifa Stars na klabu ya K.R.C. Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta, ametajwa kuwania tuzo ya mwanasoka bora wa shirikisho la soka barani Afrika, CAF.

Majina hayo 30 yametangazwa jana Jumamosi  kupitia tovuti ya shirikisho hilo la soka barani.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!