Tuesday, October 4, 2016

Video: Kitanda cha Wolper chapambwa madola kumkaribisha birthday boy, Harmonize

Jumanne hii ni birthday ya mkali wa wimbo ‘Matatizo’, Harmonize ambapo mastaa mbalimbali pamoja na mashabiki wake katika mitandao ya kijamii wamem-wish kwa kumtakia heri na mafanikio katika maisha yake.

Kwa upande wa malkia wa filamu, Jacqueline Wolper ambaye ni mpenzi wa staa huyo, ameonyesha maandalizi ya kitanda chache kilichopambwa na madola pamoja na keki kwa ajili ya mpenzi wake huyo ambaye leo hii ametimiza miaka kadhaa.Pia hatua hii inaonyesha penzi lao kushamiri upendo ndani yake.

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!