Saturday, October 1, 2016

Wema Sepetu Amkataa Idriss Sultan LIVE

Wema amkataa Idriss Mchana kweupeee pee!!!!!
Alishasema hataki kuwa nae sasa nyie endeleeni kupost ohh shem shem sijui kamuoa dada yenu au???? Watabaki kuwa marafiki kama zamani tuuuu...wema so wamchezo mchezooo...

unalakusema hapo mdau ???Habari ndo hiyooo...

Soma Alichoandika Mtandaoni:

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!