Monday, November 14, 2016

Keisha apata mtoto wa tatu, ahitimu chuo kikuu

Mwanamuziki wa Bongo Flava, Keisha, amepata mtoto wa tatu. Kama hiyo haitoshi, muimbaji huyo amehitimu pia chuo kikuu.
 
Keisha ameshare furaha hiyo kupitia Instagram: Thanks Allah for blessing me with the big achievement that I have ever made in my life for obtaining my first Degree together with my 5 days new born oohh Allah you are GREAT.”

Amepost pia picha akiwa na mume wake na kuandika:
I’m grateful…happy and blessed…Thank you so much my lovely hubby for being part of my life all the way…It’s a great lucky to have you in my life, Thank you again a loving father of my 3 cute children for your endless love and continued support for making my dreams come true…It’s 100% true that….To any successful woman.. there is a man behind…I LOVE U SO MUCH MY HUSBAND.”
 
Keisha amehitimu shahada ya ununuzi na ugavi (Bachelor Degree in Procurement and Supplies Management) katika chuo cha CBE.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!