Tuesday, November 8, 2016

Pongezi alizozitoa Wema Sepetu kwa Diamond Platnumz


Ukaribu wa mastaa Wema Sepetu na Diamond Platnumz unazidi kutikisa mitandao ya kijamii kila siku. Mastaa hawa wamekuwa wakiweka post ambazo zimekuwa zikiongeza maswali kwa mashabiki ambao wanahoji sababu za wao kufanya hivyo wakati waliwahi kuwa kwenye ugomvi baada ya kuachana.
 
 November 7, 2016 Mrembo Wema Sepetu ameweka post ya kumpongeza Diamond Platnumz baada ya kushinda tuzo tatu za AFRIMA2016 zilizotolewa jijini Lagos, Nigeria usiku wa kuamkia jana.
 
Post ya pongezi ya Wema Sepetu kwenda kwa Diamond Platnumz
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!