Friday, November 18, 2016

Video Mpya: Timbulo ft Barakah The Prince – Usisahau

Msanii Timbulo ameachia video yake mpya ya wimbo ‘Usisahau’ aliomnshirikisha Barakah The Prince na imeongozwa na director Eddie kutoka Kenya, ni moja kati ya nyimbo kali zilizotoka kutoka kwa mwaka huu. 

Tazama hapa chini video hiyo.

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!