Thursday, March 23, 2017

Nape: Sijakamatwa na Polisi....Nipo Protea

Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli leo kutengua uteuzi wa Waziri  wa Habari, Sanaa, Utamaduni na michezo, Nape Nnauye....Mbunge huyo yupo hotel ya Protea tayari kwa kuongea na waandishi habari kuhusu uteuzi wake kutenguliwa

Akiwa njiani kuelekea Protea, zilisambaa habari kwamba amekatwa. Taarifa hizo amezikanusha kupitia mtandao wa twitter na kudai yuko salama

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!